Neno Down Syndrome limetokana na jina la mtu wa kwanza, aliyegundua hali hii, kwa jina Langdon Down. Alikuwa tabibu (physician) Mwingereza.Huu ni mpangilio wa chembechembe (kromosomu) ambavyo ni sehemu ya hali ya binadamu ambayo huweza kutokea kwa watu wa aina zote bila kujali rangi, jinsi, wala ...