Contact Us

 
 
 
 
Kwa wengi wa wazazi/walezi walioko mikoa yote Tanzania Bara, tungependa kuwasiliana nawe.

Tuandikie meseji ya simu kutuambia:
1.Jina lako Kamili na la Mtoto mwenye Hali ya Down Syndrome.
2. Umri wake
3.Anasoma Shule au Yuko nyumbani
4.Kama ni mkubwa anajushughulisha na kazi gani
5.Mkoa, Wilaya hata Kijiji ulioko.